Namna ya kuchangia Redio Uhai kutoka katika nchi Mbalimbali Duniani:
Ikiwa unataka kutuma Sadaka yako kuchangia Redio Uhai ukiwa nje ya Tanzania, unaweza kutuma pesa kwa Mkurugenzi wa Redio Uhai.
Tafadhari andika Jina lifuatalo kwenye Fomu au kwenye Mtandao:
Deusdedith Cosmas Kanunu
P.O. Box 691
Tabora, TANZANIA
Hapa kuna njia tatu pia unazoweza kutuma Sadaka yako Redio Uhai iliyoko Tanzania:
MoneyGram na Western Union ni njia nzuri zinazokuwezesha kutuma Sadaka yako kwa njia ya mtandao bila kutoka nyumbani.
MoneyGram
Kwa MoneyGram tembelea hapa.
https://secure.moneygram.com
Western Union
Kwa western Union tembelea hapa.
http://westernunion.com
X-press Money
Kwa X-press Money tembelea hapa.
http://www.xpressmoney.com/
Baada ya kupata namba uliyotumia Sadaka yako kutoka MoneyGram, Western Union au X-press Money, tafadhari itume namba hiyokwa njia ya barua pepe kwa:
au kwa
Unaweza pia ukapiga simu zifuatazo kutoa maelekezo kwa namna ulivyotuma Sadaka yako kwa MoneyGram, Western Union au kwa X-presss Money.
+255-756-264-880
+255-787-945-445
Support Radio Uhai International
How to Support Radio Uhai From Many Countries Around the World
If you want to send money to support Radio Uhai in Tanzania, you may send the money to the Radio Uhai manager.
Please write this name on the form or online.
Deusdedith Cosmas Kanunu
in Tabora, Tanzania
Here are three ways to send money to Radio Uhai in Tanzania.
MoneyGram and Western Union are good choices allow you to send money online without leaving your home.
MoneyGram
Western Union
Xpress Money
After you get number from MoneyGram, Western Union or Xpress Money,
please email the number and the amount to
deus.kanunu@gmail.com
or to radiouhai@aol.com
You can also call the Radio Uhai radio station at these phone numbers to give the MoneyGram, Western Union or Xpress Money number:
+255-746-460-374
+255-783-893-434