Jinsi Unavyoweza kuchangia Redio Uhai Ukiwa Tanzania
Redio Uhai ni erdio ya Kikristo inayopatikana katika mji wa Tabora, Tanzania. Unaweza kuisikiliza katika masafa ya 94.1 FM.
Unaweza kutuma mchango wako kwa Redio Uhai kupitia simu yako katika namba zifuatazo:
Mpesa +255-746-460-374
Kama uko nje ya Tanzania na ungependa kutuma Sadaka yako Redio Uhai, unaweza kutuma mchango kwa njia ya Western Union or MoneyGram kupitia namba ya Vodacom.
Kama uko nchini Tanzania unaweza kutuma Hundi ya Sadaka yako katika anuani ifuatayo nasi tutaipokea.
Redio Uhai FM Station
P.O.Box 691
Tabora, Tanzania
Kama unataka kupata maelekezo ya namna ya kutuma hela kwa njia ya Airtel, MoneyGram au M-pesa tafadhari soma maelekezo katika tovuti zifuatazo. Namna ya Kuchangia Redio Uhai Kutoka Katika Nchi Yoyote Duniani. Kama unataka kutuma fedha kuchangia huduma ya Redio Uhai ukiwa Tanzania, unaweza kutupa pesa yako kwa Meneja wa Radio Uhai kwa kutumia taarifa zifuatazo.
Deusdedith Cosmas Kanunu
S.L.P. 691,
Tabora, Tanzania
Hapa kuna njia tatu pia za kutuma hela kuchangia huduma ya redio Uhai katika nchi ya Tanzania. Money Gram na Western Union ni njia nzuri zinazokuwezesha kutuma hela popote duniani.
MoneyGram
https://secure.moneygram.com
Western Union
http://westernunion.com
Xpress Money
http://www.xpressmoney.com/
Wise
Xoom
Baada ya kupata namba uliyotumia ama kwa MoneyGram, Western Union au Xpress Money.
Tafadhari tuma taarifa hizo ulizotumia katika kutuma fedha kwenye barua pepe zifuatazo
deus.kanunu@gmail.com na radiouhai@aol.com
Unaweza kupiga redioni kwa namba zifuatazo kutoa taarifa ya namna ulivyotuma mchango wako kati ya njia hizo tatu MoneyGram, Western Union au Xpress Money, Wise, na Xoom.
Ergatas
https://ergatas.org/search/Kanunu
Hii ni huduma iliyoko Marekani. Unaweza kutuma sadaka yako kwa Deus na Ezena Kanunu walioko Tanzania kupitia huduma hii.