VIPINDI VYA KUANZIA (PDF)

JUMATATU - IJUMAA JUMAMOSI JUMAPILI

Na. Siku/Muda Jina La Kipindi Maudhui Walengwa Mategemeo/Mafanikio
1 ASUBUHI
Jumatatu-Jimapili Saa 11:00- Saa 1:00 Asbh
Pambazuko la Uhai Kuamshana kwa njia ya ujumbe mfupi wa Maandishi Pamoja na kuanza siku kwa kumtukuza Mungu Wasikilizaji Wote Kujenga Mahusiano ya Undugu
2 Jumatatu-Ijumaa
Saa 1:00- 3:00 Asbh
Meza ya wachungaji Kupata ufafanuzi na maarifa Zaidi kuhusu mada husika na mijadala mbalimbali Wasikilizaji Wote Kujenga uelewa wa kutosha kuhusu mambo ya kiroho
3 Jumatatu-Ijumaa
Saa 3:00 Asbh-Saa 7:00 Mchn
Fungasho la Uhai Kuvumbua kero za mitaani,kujenga mahusiano kwa jamii na watoto,na kupata burudani pamoja na Msikilizaji kufahamu aina za mapishi kisha kukaribishana mezani na kutakiana mlo mwema Watoto na Wasikilizaji Wote Kuelimisha watoto lugha ya kingereza na kupata ufumbuzi wa changamoto za kero zinazojitokeza katika baadhi ya maeneo, Kuielimisha jamii namna bora ya kupika chakula kwa kuzingatia kanuni za afya
4 Jumatatu-Jumapili
Saa7:00 - Saa 2:00 mch
Taarifa ya Habari Msikilizaji kujuzwa habari mbali mbali za ulimwengu Wasikilizaji wote Kumtaarifu Msikilizaji kuhusu Taarifa mbali mbali zilizotokea Duniani
5 Jumatatu-Ijumaa
8:00 - 10:00 jioni
Mdundo Injili Kuburudisha na kutoa habari mbalimbali zinazowahusu waimbaji wa gospel na kazi zao, kupitia muziki wa INJILI Vijana na Wasikilzaji wengine wote Kuburudisha
6 Jumatatu-Ijumaa
Saa 10:00 - 10:15Jioni
Taarifa ya Habari Msikilizaji kujuzwa habari mbali mbali za kitaifa na kimataifa Wasikilizaji Wote Kuhabarisha
7 Jumatatu-Ijumaa
Saa 10:15 - 12:00 jioni
Jarida la Radio Uhai Kipindi maalumu kuelezea maendeleo ya kanisa na habari za kikristo,na kujadili masuala mbalimbali ya kijamii. Wasikilizaji Wote Kuhabarishana na Kuelimishana
8 Jumatatu-Ijumaa
Saa12:00 - 1:00 jioni
Taarifa ya Habari Msikilizaji kujuzwa habari mbali mbali za ulimwengu Wasikilizaji Wote Kumtaarifu Msikilizaji kuhusu Taarifa mbali mbali zilizotokea Duniani.
9 Jumatatu-Ijumaa
Saa 1:00 - 8:00 usiku
Idhaa ya Kiswahili kutoka Transword radio Kenya Kuelimisha Kuhusu mafundisho ya kiroho Wasikilizaji Wote Kueneza injili kupitia shuhuda za kweli
10 Jumatatu-Jumamosi
Saa 2:00 - 2:15 usiku
Taarifa ya Habari Msikilizaji kujuzwa habari mbali mbali za kitaifa na kimataifa Wasikilizaji Wote Kumtaarifu Msikilizaji kuhusu Taarifa mbali mbali zilizotokea Duniani Na Tanzania kwa ujumla
11 Jumatatu-Jumapili
Saa 2:15 - 3:00
Uhai Michezo Kuhabarisha kuhusu michezo na burudani mbalimbali duniani kote Wasikilizaji Wote Kuhabarishana habari za michezo
12 Jumatatu-Jumamosi
3:00 -3;30 usiku
Sauti ya Tumaini Kuelimisha Kuhusu mafundisho ya kiroho Wakristo wote na jamii inayopenda kusikiliza Kuelimisha na kuwakumbusha wakristo kuhusu njia ya Mungu
13 Jumatatu - ijumaa
03:30 - 4:00 usiku
Muda Huru Kuburudisha Kuburudisha Kuburudisha
14 Jumatatu-Jumamosi
Saa4:000-Saa5:00Usiku
Bustani ya Hekima Kutafakari Neno la Mungu na kupata maneno ya kutiwa moyo Wasikilizaji Wote Kutafakari Neno la Mungu
15 Jumatatu-Jumapili
Saa5:20 - 6:00 usiku
Usiku wa shukrani na Sifa Kupokea simu za wasikilizaji wakimshukuru Mungu na Burudani za Nyimbo za Injili za Taratibu Wasikilizaji Wote Kumshukuru Mungu

JUMAMOSI JUMAPILI JUMATATU - IJUMAA

Na. Siku/Muda Jina La Kipindi Maudhui Walengwa Mategemeo/Mafanikio
1 ASUBUHI
Saa 11:00- Saa 1:00 Asbh
Pambazuko la Uhai Kuamshana kwa njia ya ujumbe mfupi sms Pamoja na kuanza siku kwa kumtukuza Mungu. Wasikilizaji Wote Kujenga Mahusiano ya Undugu.
2 Jumamosi
Saa 1:00 - 3:00 Asubuhi
Matukio ya Wiki Kupata taarifa za habari na matukio makubwa yaliyojiri ulimwenguni kwa juma zima. Wasikilizaji wote Kuhabarisha.
3 Jumamosi
Saa 3:00 -4:00 Asbh
Uhai na Watoto Kipindi kinachowapa fursa watoto kuweza kushiriki kwa pamoja na kupata elimu, burudani na mambo mengine yanayowahusu watoto. Watoto Kwawezesha watoto kujifunza hesabu na kuwasidia kujua lugha ya kingereza.
4 Jumamosi
Saa4:00 -5:00 usiku
Mtaalamu wetu. Kuwasaidia wasikilizaji kujua maswala mbali mbali yanayohusu afya na taaluma mbalimbali. Wasikilizaji wote Kutoa maarifa mapya.
5 Jumamosi
Saa 5:00 - 6:00Mchana
Biblia Yasema Fursa kwa wasikilizaji kupata majibu ya maswali magumu ya biblia pia kuuliza chochote kuhusu biblia Wakristo wote Elimu ya Biblia
6 Jumamosi
Saa6:00- 7:00Mchana
Mchana Mwema Kufundisha maswala ya mapishi na unadhifu na kupata burudani ya taratibu. Wasikilizaji Wote Kuburudisha
7 Jumamosi
Saa 7:00 - 2:00Mchana
Taarifa ya Habari Msikilizaji kujuzwa habari mbali mbali za ulimwengu na kusikiliza makala mbali mbali za kikristo na za kujengana kiroho. Wasikilizaji Wote Kumtaarifu Msikilizaji kuhusu Taarifa mbali mbali zilizotokea Duniani.
8 Jumamosi
8:00 - 9:00
Amka Mwanamke Kipindi kinachogusa maswala yanayohusu wanawake kuangazia changamoto mbali mbali zinazowakabili na jinsi ya kuinuka kiuchumi Wanawake Elimu ya Uchumi na ujasiliamali
9 Jumamosi
Saa 9:00Mchana 11:00Jioni
20 za injili Kusikia nyimbo zilizofanya vizuri kwa juma/mwezi mzima kupitia RU fm Wasikilizaji Wote Kuburudisha
10 Jumamosi
Saa11:00 - 11:30 jioni
Nguvu kazi Kipindi kinachogusa masuala ya vijana,changamoto zao na njia za kuinuka kiuchumi Vijana Elimu ya biashara uchumi na ujasiliamali
11 Jumamosi
11:30- 12:00 jioni
Changamsha Bongo Kutoa fursa kwa wasikilizaji kujibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwenye biblia,michezo siasa na masuala ya jamii. Wasikilizaji Wote Kuelimisha.
12 Jumamosi
Saa12:00 - 1:00 jioni
Asili Tanzania Kuangalia Tamaduni za asili za makabila mbali mbali Na kukuza utalii wa ndani. Wasikilizaji Wote Kukuza utalii wa ndani
13 Jumamosi
Saa1:00-2:00usiku
Idhaa ya Kiswahili kutoka Trans Word Radio Kenya Msikilizaji kujuzwa habari mbali mbali za ulimwengu na kusikiliza makala mbali mbali za kikristo na za kujengana kiroho. Waskilizaji wote Kuelimisha na kuwakumbusha wakristo kuhusu njia ya Mungu.
14 Jumamosi
Saa2:00-2:15
Taarifa ya Habari Msikilizaji kujuzwa habari mbali mbali za kitaifa na kimataifa. Wasikilizaji wote Kumtaarifu Msikilizaji kuhusu Taarifa mbali mbali zilizotokea Duniani Nsa Tanzania kwa ujumla.
15 Jumamosi
Saa 2:15 - Saa 3:00Usiku
Uhai Michezo Kuhabarisha kuhusu michezo na burudani mbalimbali duniani kote Wasikilizaji wote Kuhabarishana habari za michezo
16 Jumamosi
Saa3:00- 3:30Usiku
Sauti ya Tumaini Kuelimisha Kuhusu mafundisho ya kiroho Wasikilizaji wote Kuelimisha na kuwakumbusha wakristo kuhusu njia ya Mungu.
17 Jumamosi
Saa4:30 - 5:00Usiku
Muda Huru Kuburudisha Wasikilizaji wote Burudani
18 Jumamosi
Saa5:00Usiku-Saa6:00Usiku
Wasaa wa Shukrani Kupokea simu za wasikilizaji wakimshukuru Mungu na Burudani za Nyimbo za Injili za Taratibu. Wasikilizaji wote. Kumshukuru Mungu.

JUMAPILI JUMATATU - IJUMAA JUMAMOSI

Na. Siku/Muda Jina La Kipindi Maudhui Walengwa Mategemeo/Mafanikio
1 Jumapili
Saa1:00Asbh-Saa3:00Asbh
Jumapili maalum Burudani ya jumapili asubuhi pamoja na kuhimizana kuwahi ibadani Wakristo na wasikilizaji wote Burudani na Mafundisho
2 Jumapili
Saa3:00Asbh-Saa7:00Mchn
Kutoka Madhabahuni Kurusha Ibada moja kwa moja kutoka kanisani Wakristo wote Mafundisho ya kiroho ibadani
3 Jumapili
Saa7:15Mchn-Saa8:00Mchn
Taarifa ya Habari Kusikiliza habari na Makala mbalimbali na kumuhabarisha msikilizaji yaliyotokea duniani Wasikilizaji wote Kuhabarisha
4 Jumapili
Saa8:00Mchn-Saa9:00Alsr
Tabora Nyimbo za Injili Kutoa fursa kwa waimbaji wa Tabora tu kuchezewa nyimbo na kufanyiwa mahojiano Wasikilizaji wote Kuburudisha
5 Jumapili
Saa9:00Alsr-10jioni
Michezo ya wiki Kupata yote yaliyojiri katika michezo kwa juma zima Wasikilizaji wote Kuhabarisha Habari za Michezo
6 Jumapili
Saa10:00Jioni-Saa11:00Jioni
Zilizorindima Kusikia nyimbo zilizofanya vizuri miaka ya zamani pamoja na historia mbalimbali za nyimbo za kale Wasikilizaji wote Burudani
7 Jumapili
Saa11:00-Saa12:00Jioni
Chaguo Lako Kutoa fursa kwa wasikilizaji kuchagua nyimbo wazipendazo na kutumiana salamu Wasikilizaji wote Burudani
8 Jumapili
Saa12Jioni-Saa1:00Jioni
Ripoti Huru ya Wiki Kusikia mkusanyiko wa habari na matukio ya juma zima Wasikilizaji wote Kuhabarisha
9 Jumapili
Saa1:00Jioni-Saa2:00Usiku
Ushuhuda Kusikia shuhuda za kweli za watu mbalimbali waliopitia/wanaopitia changamoto Wasikilizaji wote Kutia moyo na kuwajenga watu kiimani
10 Jumapili
Saa2:00Usiku-Saa3:00Usiku
Staarabika Kutoa na kupata suruhisho la kero mbalimbali katika jamii Wasikilizaji wote Kuonya na kufundisha
11 Jumapili
Saa3:00Usiku-Saa4:00Usiku
Meza ya Wachungaji Kufundisha maswala mbalimbali yanayohusu jamii ya kikristo na kuonya matendo mabaya Wakristo na wasikilizaji wote Mafundisho ya kiimani.
12 Jumapili
Saa4:20-Saa5:00Usiku
Bustani ya Hekima Kutafakari Neno la Mungu na kupata maneno ya kutiwa moyo Wasikilizaji wote Kutafakari Neno la Mungu
13 Jumapili
Saa5:00Usiku-Saa6:00Usiku
Wasaa wa Shukrani Kupokea simu za wasikilizaji wakimshukuru Mungu na Burudani za Nyimbo za Injili za Taratibu Wasikilizaji wote Kumshukuru Mungu

Radio Uhai 94.1 FM Tabora Sauti ya Tumaini

© 2024 Radio Uhai